Kabla hujafika.
Swali jingine? Tuandikie WhatsApp 0765 888 788.
Muda wa kuingia na kutoka ni saa ngapi?
Kuingia ni kuanzia saa 4:00 asubuhi (10:00); kutoka ni kabla ya saa 6:30 mchana (12:30).
Nalipa sasa?
Hapana. Hakuna malipo wala deposit online. Unatuma ombi la booking, kisha Good Homes wanakuthibitishia kwa simu au WhatsApp.
Booking inathibitishwa vipi?
Ukituma ombi unapata namba ya booking papo hapo. Mwenyeji anaangalia na kukupigia au kukuandikia kwenye 0765 888 788.
Apartment zipo wapi?
Mdeili 1015, Kisasa, Dodoma. Angalia ramani kwenye sehemu ya Mahali, au bonyeza "Fungua kwenye Google Maps" upate maelekezo.
Kuna parking na WiFi?
Ndiyo. Parking ya bure, WiFi, AC, Smart TV, jiko lenye vifaa, maji ya moto, ulinzi masaa 24 na usafi wa chumba.
Naweza kukaa muda mrefu (wiki au mwezi)?
Ndiyo, chagua tarehe zako hadi usiku 30, au tuandikie WhatsApp kwa kukaa zaidi.
Kuna usafiri wa kunichukua (pickup)?
Ndiyo. Ukifanya booking kupitia tovuti hii unapata pickup ya bure popote ndani ya Dodoma. Wasiliana nasi baada ya booking, kwa WhatsApp au simu, ili tupange kukuchukua.
Nitajuaje kama booking yangu imethibitishwa?
Fungua Booking yangu kwenye tovuti hii, weka namba ya booking na simu yako uone hali yake. Hapo pia unaweza kutuandikia ujumbe na kuona majibu yetu.