Good Homes Apartments

Chagua apartment yako.

Studio, One Bedroom na Two Bedroom. Telezesha picha au gusa kuziona kubwa.

Chumba cha kulala chenye kitanda, mkedeka mwekundu na picha ukutani, Good Homes Apartments

Studio

Studio ya kisasa: chumba kimoja chenye kitanda, sehemu ya kupumzika na jiko dogo. Inafaa kwa safari ya kikazi au mtu mmoja / wawili.

Kuanzia TZS 35,000 TZS 30,000 (ofa ya booking online) / usiku. Apartment nzima. WiFi ya bure, AC, Smart TV, jiko lenye vifaa, parking ya bure, ulinzi masaa 24.

Maelezo na picha

Sebule yenye ukuta wa waridi, TV na sofa, Good Homes Apartments Dodoma

One Bedroom

Chumba cha kulala, sebule yenye TV na sofa, jiko na sehemu ya chakula. Nafasi ya kukaa kama nyumbani.

Kuanzia TZS 50,000 TZS 45,000 (ofa ya booking online) / usiku. Apartment nzima. WiFi ya bure, AC, Smart TV, jiko lenye vifaa, parking ya bure, ulinzi masaa 24.

Maelezo na picha

Sebule pana yenye sofa, viti vya kupumzika na mapazia, Good Homes Apartments Dodoma

Two Bedroom

Vyumba viwili vya kulala, sebule pana, jiko na meza ya chakula. Bora kwa familia au kikundi kidogo.

Kuanzia TZS 80,000 TZS 75,000 (ofa ya booking online) / usiku. Apartment nzima. WiFi ya bure, AC, Smart TV, jiko lenye vifaa, parking ya bure, ulinzi masaa 24.

Maelezo na picha

© 2026 Good Homes Apartments